1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Saratani ya kinywa

02:56

This browser does not support the video element.

30 Mei 2022

Saratani ya kinywa inatokea zaidi kwa wanaume na wazee walio na umri wa zaidi ya miaka 50. Matumizi ya tumbaku na pombe ndio chanzo kikuu cha saratani ya kinywa ulimwenguni.