1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sasa baiolojia-anwai ndiyo njia ya mazingira

16 Machi 2012

Kanuni kubwa ya mazingira ni kwamba pana uhusiano wa kutegemeana kat ya mwanadaamu na viumbe vilivyomzunguka, wakiwamo wanyama na mimea na kwamba ili mwanaadamu aendelee kubakia salama, lazima hivyo navyo viwe salama.

Msimu wa machipuko.
Msimu wa machipuko.Picha: picture alliance/dpa

Iddi Ismail Ssesanga anaangalia dhana ya bailojia anwai na nafasi yake katika ustawi wa maisha ya mwanaadamu. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikinioni hapo chini.

Makala: Mtu na Mazingira
Mada: Bailojia anwai njia ya maisha
Mtayarishaji/Msimulizi: Iddi Ismail Ssesanga
Mhariri: Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi