1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Schalke 04 warudi katika Bundesliga

9 Mei 2022

Schalke 04 wamefanikiwa kurudi tena katika Bundesliga baada ya kushinda ligi ya daraja la pili. Walifanya hivyo baada ya kuwalaza Saint Pauli magoli 3-2 siku ya Jumamosi.

2. Fußball Bundesliga FC Schalke 04 - St.Pauli | Jubel Fans über Aufstieg
Picha: Laci Perenyi/picture alliance

Mabingwa wa zamani wa Bundesliga SV Werder Bremen na mahasimu wao wa kaskazini Hamburg wanashikilia katika nafasi ya pili na ya tatu huku ikiwa imesalia mechi moja tu.

Bremen wana pointi 60 huku Hamburg wakiwa na pointi 57.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW