1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SCHROEDER KUANZA ZIARA BARANI AFRIKA:

14 Januari 2004

ADDIS ABABA: Kansela Gerhard Schroeder wa Ujerumani siku ya jumapili anaanzia Ethiopia ziara yake ya wiki moja barani Afrika.Kwa upande mwingine ripoti zasema nchini Ethiopia maelfu ya watu wanavihama vijiji kujiepusha na mapigano yaliozuka katika jimbo la Gambella.Mapigano hayo yaliozuka tangu Desemba yameshapoteza maisha ya watu 60.Chanzo cha mvutano ni ugomvi unaohusika na haki ya kudhibiti ardhi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW