1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SEHEMU YA PESA ZILIZOPORWA ZAPATIKANA:

13 Novemba 2003

LAGOS: Waziri wa fedha wa Nigeria wiki ijayo atakwenda Uswissi kuziokoa Dola millioni 618 zilizohamishwa nje ya Nigeria na kiongozi wa zamani wa nchi hiyo yenye utajiri wa mafuta Sani Abacha.Hiyo ni idadi kubwa kabisa kupatikana katika msako wa miaka mitano wa Dola bilioni 3 zilizobadhiriwa na Abacha na washirika wake kati ya mwaka 1993 na 1998.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW