Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani cha CUF huko Tanzania, Maalim Seif Shariff Hamad, hivi sasa yuko mjini London, Uingereza, ambako huko mwishoni mwa wiki aliwahutubia Watanzania wanaoishi katika mji huo.
Matangazo
Seif Sharif Hamad anayaelezea madhumuni ya ziara yake ya London muda mfupi baada ya maridhiano ya vyama vya CCM na CUF huko Visiwani Zanzibar.