Sekta ya filamu nchini Ethiopia inatengeneza filamu kadhaa za vichekesho vya kimapenzi na sasa kuna vijana wachache wanaobahatika kujiunga na Chuo cha Filamu na Televisheni cha Blue Nile ambako wanapata fursa ya kutengeneza filamu za kiwango cha juu kwa kutumia bajeti ndogo.