Seneta mpya Hassan Omar azungumza na DW12.03.201312 Machi 2013Mwanzoni alifahamika kama mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binaadamu, sasa Hassan Omar ni mwanasiasa akishikilia kiti cha useneta kutokea Mkoa wa Pwani nchini Kenya.Nakili kiunganishiKenia Wahlen Raila Odinga ÜnterstützerPicha: Will Boase/AFP/Getty ImagesMatangazo Mohamed Abdulrahman azungumza na Hassan Omar.