JamiiSerikali kuwasaidia albino Uganda20.06.201820 Juni 2018Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga ameahidi atashinikiza kuwepo sheria za kulinda wenye ulemavu wa ngozi, ikiwemo kutoa vifaa vya bure kwa wanafunzi kama vile miwani ya kuwakinga dhidi ya jua, vipodozi na kofia.Nakili kiunganishiIchaguwe DW kwenye GooglePicha: DW/ Emmanuel LubegaMatangazoJ3.13.06.2018 International Albinism Day - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.