SiasaSerikali ya Tanzania ilipoteza shilingi trilioni 1.5?00:42This browser does not support the video element.Siasa20.04.201820 Aprili 2018Ni kati tu ya maswali ambayo yanajitokeza kupitia katuni hii ambayo imechorwa na Said Michael! Je fedha hizo zimeenda wapi, zilitumika vipi? Ni nani alizitumia? Maswali yanayohitaji kujibiwa. Nakili kiunganishiMatangazo