Serikali yaanza Operesheni ya bomoabomoa mjini Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
10 Julai 2007Matangazo
Zaidi ya maeneo 130 yanalazimika kubomolewa ili kuimarisha mazingira ya mji huo ulio na wakaazi zaidi ya milioni 10. Wakati huo huo mamia ya wanajeshi na familia zao wameondolewa kwenye makaazi ya serikali waliokuwa wakiishi mjini humo huo, na kupelekwa katika kambi mpya mashariki.
Maelezi zaidi na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.