1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shahada si kizuizi kufanya kazi ya bodaboda

02:36

This browser does not support the video element.

16 Mei 2018

Licha kuwa ana shahada ya kwanza katika ualimu, kijana huyu hachelei kufanya kazi ya kuendesha bodaboda. Hali hii ni kutokana na ukosefu wa nafasi za ajira. Anasema kazi hii inayakidhi mahitaji yake na anaendelea kupata maendeleo maishani. tazama video ujue mengi zaidi. Ni katika makala Vijana Mubashara 77Asilimia

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW