SiasaShambulio la kujitoa muhanga Pakistan Papo kwa Papo 02.09.201601:34This browser does not support the video element.Siasa02.09.20162 Septemba 2016Shambulio la kujitoa muhanga limewaua watu 13 mjini Mardan, Pakistan. Roketi yalipuka katika kituo cha Kennedy mjini Florida na polisi yapambana na waandamanaji wanaoshinikiza rais wa Venezuela Nicolas Maduro kuondolewa madarakani.Nakili kiunganishiMatangazo