1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shambulizi la roketi lauwa watu 12 katika milima ya Golan

01:03

This browser does not support the video element.

29 Julai 2024

Shambulizi la kombora kutoka Lebanon limewaua vijana 12 katika eneo la milima ya Golan linalokaliwa na Israel na kuzua tena hofu kwamba vita vya Gaza vitaenea. Jeshi la ulinzi la Israel limesema shambulizi hilo la kombora katika mji wa Druze wa Majdal Shams liliulenga uwanja wa mpira na kuwaua vijana hao wakiwemo wenye umri mdogo wa hadi miaka 12.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW