Sharleen Amonda atia fora katika Karate29.02.201629 Februari 2016Sharleen Amonda ni mchezaji wa karate maarufu zaidi nchini Zimbabwe na anadhamiria kushiriki mashindano ya Olimpiki ya mwaka 2016. Kwa mwanamke huyo wa miaka 27, siku kwake huanza kabla ya mapambazuko.Nakili kiunganishiPicha: DW/S. MöhlMatangazoAmoda avunja kuta za jinsia katika Karate03:13This browser does not support the video element.