Sherehe za Karnival mjini Cologne
11 Februari 2010Matangazo
Mjini Cologne mambo yamechacha ikiwa leo ni siku ambapo wanawake wanapata nafasi maalum. Josephat Charo amezungumza hivi punde na watangazaji wenzetu ambao wako huko Cologne, Lazaro Matalange na Grace Kabogo lakini kwanza ni Peter Moss.
Mtayarishaji: Josephat Charo
Mhariri: Mohammed Abdulrahman