1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shida ya maji Rwanda

04:04

This browser does not support the video element.

9 Novemba 2020

Nchini Rwanda, shida ya maji safi imeshamiri. Mfano mzuri ni mkoa wa Mashariki ambao licha ya kuwa na visima kadhaa vya maji, wananchi wanasema bado ni vichache. Maji ya bomba bado ni kitendawili kwa kiasi kikubwa. Baadhi ya maeneo hukosa maji kwa wiki kadhaa hata katika mji Mkuu Kigali.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW