1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shindano la urembo la watu walio na ulemavu wa ngozi

01:26

This browser does not support the video element.

Amina Mjahid
13 Novemba 2018

Uganda imeandaa shindano lake la kwanza la urembo kwa watu walio na ulemavu wa ngozi. Washindi wa shindano hilowataiwakilisha Uganda katika mashindano ya Urembo ya Afrika Mashariki ya upande wa wanawake na wanaume mjini Nairobi mwishoni mwa mwezi Novemba.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW