SiasaShirika la NASA lagundua sayari mpya01:48This browser does not support the video element.SiasaSaumu Mwasimba23.02.201723 Februari 2017Mazungumzo ya Syria yaanza tena Geneva Uswisi. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani rex Tillerson yuko ziarani Mexico kwa mazungumzo. Rais wa Somalia awataka Al-Shabaab waache vita na kujenga nchi. Na sayari mpya zagunduliwa.Nakili kiunganishiMatangazo