1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shirika la UNEP latoa taarifa kuhusu hali ya mazingira duniani

25 Oktoba 2007

Shirika la mazingira la umoja wa mataifa UNEP, leo limetoa taarifa yake ya kila baada ya miaka 20 kuhusu hali ya mazingira duniani kote.

Kulingana na ripoti hiyo binaadamu anaendelea kupoteza maisha yake kwa sababu ya uharibifu wa hali ya hewa.

Mwandishi wetu Mwai Gikonyo kutoka Nairobi ana taarifa zaidi.