1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shughuli ya mavuno inayoambatana na burudani

03:01

This browser does not support the video element.

Veronica Natalis
4 Juni 2020

Shughuli ya mavuno inayoambatana na burudani Jamii ya kabila la Wasukuma lilinalopatikana katia mikoa ya Kanda ya Ziwa nchini Tanzania, hualikana katika shughuli za kilimo na uvunaji ili kurahisisha kazi. Wakati wa mavuno Wasukuma hutumia njia ya kuimba na kucheza, huku mwenye shamba akiandaa chakula kwa ajili ya marafiki wanaokwenda kumsaidia shughuli za shambani.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW