UtamaduniShuka maarufu la Maasai utambulisho wa utamaduni03:27This browser does not support the video element.Utamaduni08.01.20248 Januari 2024Wamasai ni jamii ambayo imeshikilia na kuhifadhi utamaduni wake ikiwemo vazi maarufu la shuka la Kimasai. Mwanamitindo wa Kenya ameamua kuleta ubunifu wa vazi hilo katika mitindo ya kisasa.Nakili kiunganishiMatangazo