SanaaSikiliza Bundesliga live hapa23.09.201623 Septemba 2016Kila Jumamosi DW inakuletea matangazo ya moja kwa moja ya mechi za Ligi ya Soka Ujerumani, Bundesliga. Usikose kujiunga nasi kuanzia saa 10:25 alasiri. Watangazaji waliobobea watakueleza yanayojiri viwanjani.Nakili kiunganishiMatangazoSikiliza Bundesliga moja kwa moja hapa. Matangazo yanasikika tu wakati mechi inachezwa.