SiasaTanzaniaSiku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Tanzania02:48This browser does not support the video element.SiasaTanzaniaSudi Mnette06.12.20236 Desemba 2023Dunia inaadhinisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, maadhimisho yaliyoasisiwa na Umoja wa Mataifa kwa lengo za kupaza sauti ili kupinga vitendo vya ukatili vinavyotokea hasa kwa wanawake katika maeneo mbali mbali duniani.Nakili kiunganishiMatangazo