1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Elimu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

30 Aprili 2007

Waalimu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wameadhimisha siku ya elimu nchini humo ikiwa ni miaka 50 tangu chuo kikuu cha kwanza kuanzishwa nchini humo.