1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya idadi ya watu duniani

01:01

This browser does not support the video element.

12 Julai 2024

Idadi ya watu duniani inatarajiwa kuongezeka kwa takriban bilioni 2 Ndani ya miaka 30 ijayo. Afrika inaongoza kwa ongezeko la watu duniani. Kiwango cha juu cha uzazi na kupungua kwa viwango vya vifo vya watoto kunachochea mwenendo huu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW