Siku ya kimataifa ya kupambana na kutokujua kuandika na kusoma nchini Burundi
12 Septemba 2008Matangazo
Kauli mbiu ya mwaka huu ni elimu ndio tiba mujarab.Kila mwaka Umoja wa mataifa hutenga tarehe nane mwezi wa tisa kama siku ya kupambana na tatizo hilo la msingi.Nchini Burundi takwimu zianeleza kuwa asilimia 40 pekee ya wakazi wa nchi hiyo wanaojua kusoma na kuandika.Hali hiyo inachagizwa na uwekezaji mdogo katika sekta hiyo japo mashirika yasiyokuwa ya kisertikali yanayopambana na tatizo hilo.
Zamu leo ni ya Amida Issa kutoka Bujumbura aleyeandaa taarifa ifuatayo.