Leo ni siku ya kimataifa ya lugha ya mama na utafiti unaonayesha kwamba sehemu nyingi za dunia vijana wamepoteza mwelekeo juu ya kuzungumza lugha yao ya asili.
Matangazo
Asilimia kubwa ya vijana hawajui lugha zao za asili na hawawezi kujieleza wakitumia lugha hizo.
Saumu Mwasimba amezungumza na Bwana Abdallah M. Miraji yeye ni mtaalamu wa lugha kutoka Mombasa nchini Kenya.