1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya kimataifa ya Milima Duniani

11 Desemba 2012

Leo (11.12.2012) ni siku ya Kimataifa ya Milima Duniani. Ikiwa ni siku muhimu ya kujikumbusha na kuelimishana juu ya umuhimu wa milima kwa faida ya wanaadamu ulimwenguni kote.

Mlima Kilimanjaro uliopo nchini Tanzania
Mlima Kilimanjaro uliopo nchini TanzaniaPicha: CC/Gary Craig

Siku hii inaadhimishwa kukiwa na changamoto kadhaa za kimazingira zinazoikabili milima mingi, ikiwemo ya mabadiliko ya tabia nchi. Kutoka Tanzania Sudi Mnette alizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayohusika na ardhi, maliasili na mazingira James Lembeli. Na kwanza alianza kuelezea jitihada zinazofanyika katika kukabiliana na tatizo la kuyeyuka kwa theluji katika mlima Kilimanjaro.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:Sudi Mnette

Mhariri:Yusuf Saumu

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi