1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Kimataifa ya Wakimbizi

20 Juni 2013

Leo ni siku ya kimataifa ya wakimbizi, siku hii imewekwa rasmi ili kuheshimu ukakamavu, nguvu na uwamuzi wa wanawake, wanaume na watoto ambao wamelazimika kutoroka makwao kutokana na vitisho vya mauaji, migogoro na vita.

Wakimbizi kutoka Kongo
Wakimbizi kutoka KongoPicha: picture-alliance/dpa

Mamilioni ya watu wanahitaji msaada kwa kuwa wakimbizi katika nchi zao wenyewe. Na leo tunaangazia hali ya wakimbizi ilivyo nchini Congo. Dalila Athman amezungumza na msemaji wa shirika la umoja wa mataifa linalohusika na masuala ya wakimbizi nchini Congo Gloria Ramadhani na kwanza alimuuliza hadi sasa hali ya wakimbizi nchini humo ipo vipi?n Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi: Dalila Athman

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW