1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya kimataifa ya Wanawake wa Vijijini

15 Oktoba 2018

Kauli mbiu ya siku hii inasema "Miundombinu endelevu, huduma na ulinzi wa jamii kwa usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake na wasichana wa vijijini.

Tanzania - Die Maasai Maria Maloloi  in Dar Es Salaam
Picha: DW/E. Boniphace

Dunia inaadhimisha siku ya wanawake na wasichana wa vijijini. Kauli mbiu ya siku hii inasema "Miundombinu endelevu, huduma na ulinzi wa jamii kwa usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake na wasichana wa vijijini.

Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Anthonio Guterres kwenye ujumbe wake amesema uwezeshaji kwa wanawake una umuhimu mkubwa katika ujenzi wa dunia yenye amani na ustawi.

Lilian Mtono amezungumza na Jael Amathi, mratibu wa programu wa shirika la Groots Kenya linaloshuguulika na uwezeshaji wa wanawake wa vijijini. Yasikilize mahojiano hayo.

Siku ya kimataifa ya wanawake wa vijijini

This browser does not support the audio element.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW