Hivi ni kwa nini watu wanashindwa kuvumiliana wanapojikuta katika tofauti? yaani mnabishana hadi kuishia kwenye ugomvi wa kuumizana na pengine kudhuru maisha ya mtu. Kulikoni? Kwa nini uvumilivu unapotea baina ya watu? Veronica Natalis alituandalia video hii, itizame na kisha utupe maoni yako.
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.