Siku ya maombolezi nchini DRC
5 Februari 2007Matangazo
Kwa wakati huohuo kiongozi wa upinzani Jean-Pierre Bemba ametoa mwito kwa Wakongo ili watekeleze siku ya maombolezi ya kitaifa leo kufuatia mauwaji ya Bas Congo, jambo ambalo serikali imetupilia mbali na kuwataka raia aendeshe shuruli zao kama kawaida.