1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya wakimbizi duniani-Mashariki mwa Kongo

20 Juni 2012

Leo tarehe 20.06.2012 ulimwengu unasherehekea siku ya wakimbizi.

Wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
Wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: Reuters

Ulimwengu ukiwa unasherehekea siku ya wakimbizi, nayo Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ikiwa katika vita hasa katika eneo lake la mashariki, tunaangazia hali ya wakimbizi katika mkoa wa Kivu ya kaskazini, unaowahifadhi wakimbizi wengi wanaokimbia vita katika maeneo yao. Kutuletea hali ya wakimbizi mkoani Kivu, ni mwandishi wetu aliye Goma, mashariki ya Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo, John Kanyunyu.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Ripoti: John Kanyunyu/DW Goma

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW