Siku ya Wanawake barani Afrika
31 Julai 2012Matangazo
Wanawake lakini wamekuwa wa kwanza katika mataifa kadha ya Afrika kukumbana na matatizo kadha, hasa katika maeneo ya vita. Sekione Kitojo amezungumza na mwanaharakati anayefanyakazi katika shirika la kijamii linalopigania amani katika eneo la mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Janine Mbandu , na alitaka kujua siku hii ina umuhimu gani kwa mwanamke wa eneo hilo.
(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi : Sekione Kitojo
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman