1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Wanawake nchini Uganda

9 Machi 2007

Wanawake nchini Uganda pia walisherehekea siku ya kimataifa ya wanawake ambapo rais Museveni amewahutubia wananchi katika uwanja wa Kololo.

Mwanamke wa Uganda akionyesha mazao aliyopanda yeye mwenyewe
Mwanamke wa Uganda akionyesha mazao aliyopanda yeye mwenyewePicha: Das Fotoarchiv

Mada kuu katika hotuba yake ilikuwa kuwapa changamoto zaidi wanawake ili kukuza maendeleo ya kiuchumi na kisiasa nchini Uganda.

Mwandishi wetu Omar Mutasa kutoka Kampala anaripoti kamili.