JamiiSimba azaa kwa mbegu za kupandikiza00:50This browser does not support the video element.JamiiSudi Mnette13.09.201813 Septemba 2018Historia imewekwa nchini Afrika Kusini baada ya simba kuzaa watoto wawili kwa kupitia njia ya kupandikiza mbegu. Hii ni hatua ya kwanza na kubwa iliyofanywa na wataalam wa mifugo duniani katika kipindi hiki ambacho, idadi ya simba inapungua.Nakili kiunganishiMatangazo