1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Simba hatarini kuangamia duniani

03:25

This browser does not support the video element.

10 Agosti 2023

Wataalam na wahifadhi wa wanyama pori wametoa tahadhari kwamba simba yupo katika hatari ya kuangamia na kutoweka ulimwenguni ikiwa hatua madhubuti za kumlinda hazitachukuliwa. wametaka migogoro kati ya simba na wanadamu itatuliwe ili kuzuia vifo vyao. Inakadiriwa kuwa ni simba 20,000 pekee wamesalia Afrika.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW