Sinema katika migahawa Afrika Kusini03:09This browser does not support the video element.10.07.201510 Julai 2015Calvin Phalaa ana umri wa miaka 24. Ana mashine ya sinema kuonyeshea filamu kwa watu wa mji alikozaliwa wa Siyabuswa. Kutokana na teknolojia ya kisasa, amekuwa bingwa wa burudani.Nakili kiunganishiMatangazo