Soka – Kipindi 02 – Mchezo safi na mchezo mchafu12.04.201112 Aprili 2011Katika kipindi hiki, wacha tujue ikiwa Shangazi Lily anampokea Safina kwa ukarimu, na jinsi mheshimiwa Makemba anavyopanga kusaidia ndoto za mwanawe wa kiume zitimie.Nakili kiunganishiMatangazo