Soka – Kipindi 05 – Baada ya kipenga cha mwisho tunasalimiana
12 Aprili 2011
Usaliti umefichuliwa, lakini hasira katika kandanda huondolewa na hamasa ya mchezo safi. Chedede na Safina wana sababu ya kufurahia. Lakini je, tofauti zote zimetatuliwa? Na nini anachopanga mheshimiwa Makemba?