Soka – Kipindi 07 – Piga, sio jirani yako12.04.201112 Aprili 2011Nakili kiunganishiMatangazoMatatizo, na matatizo zaidi! Lakini wacha tuone ikiwa marafiki zetu wanaweza kutatua angalau baadhi yao. Isitoshe, Jonathan anagundua ukweli wa uchungu, na mgeni mmoja wa ngazi ya anasababisha watu kuzikunja nyuso zao katika kliniki.