Soka – Kipindi 10 – Kila kitu kinachong’aa sio dhahabu
12 Aprili 2011
Tegea kwa mara nyingine ili upate somo kuhusu kandanda barani Afrika, na ushuhudie ufunuo wa siri moja ya mwisho. Na hatimaye, tafuta kujua mwenyewe ikiwa uaminifu na kujitolea kwa marafiki zetu kuna malipo!