Mashabiki wenzangu wa soka, mambo yalikuwaje msimu huu? Yalinyooka ama yalikwenda kombo? Tulikwama wapi na wapi parekebishwe? Tizama kwanza vidoe hii ya Veronica Natalis kisha nawe tuambie mtizamo wako.
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.