1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Soka. Yanga yainyuka CDE ya Djobouti.

7 Januari 2007

Katika siku ya kwanza ya ufunguzi wa mashindano ya soka kuwania kombe la mataifa ya Afrika mashariki na kati kwa upande wa klabu, mabingwa wa Tanzania Dar Young Africans wameishindilia timu ya CDE kutoka Djibout kwa mabao 4-0.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW