Asili na mazingiraTanzaniaSoko la kimataifa la samaki Feri na nishati mbadala03:08This browser does not support the video element.Asili na mazingiraTanzania05.07.20235 Julai 2023Soko la kimataifa la samaki Dar es salaam limekuwa mfano wa kuigwa kwa kutumia nishati ya gesi, hatua inayotajwa na wataalamu wa mazingira kuwa inazingazia utunzani wa mazingira. Hata hivyo kuna changamoto chini ya mpango huo.Nakili kiunganishiMatangazo