Polisi jijini London imemtambua mshambuliaji wa tukio la ugaidi kuwa ni Khalid Masood mzaliwa wa Uingereza. Mgombea urais wa Ufaransa Francois Fillon amemshutumu Rais Francois Hollande kwa kuvujisha taarifa kwa vyombo vya habari zenye lengo la kumchafulia jina. Wapiganaji wa zamani wa kivita nchini Zimbabwe na washirika wa Rais Robert Mugabe waapa kuwaunga mkono wapinzani Papo kwa Papo 24.03.2017.