Somalia yachagua rais mpya leo. Rais Donald Trump atetea hoja yake ya kupinga wahamiaji wa nchi 7 za Kiislam kuingia Marekani mbele ya mahakama ya rufaa nchini humo. Na Kapteni wa timu ya Bayern Munich Philipp Lahm, kujiuzulu kuchezea timu hiyo mwishoni mwa msimu huu.