Asilimia 50 ya wananchi wa Somalia wameathiriwa na baa la njaa litokanalo na ukame wa muda mrefu. Wanaoteseka zaidi ni wanawake, watoto na wakongwe. Alfred Kiti anaangazia athari za janga hilo.
Matangazo
FE: Unser Feature Heute 08/13.03 Drought and Hunger in Somalia - MP3-Stereo