1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SPD chatangaza mawaziri

00:43

This browser does not support the video element.

9 Machi 2018

Nchini Ujerumani Chama cha Social Democratic SPD Ijumaa kilitangaza watakaokuwa mawaziri wake katika serikali ya mseto nchini humo. Tangazo hilo lilitolewa na kiongozi wa chama hicho Andrea Nahles.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW